WAPIGA KURA MAGU WARUBUNIWA VICHINJIO VYAO
Автор: BMG ONLINE TV
Загружено: 2020-10-21
Просмотров: 103
Описание:
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020 zikielekea ukingoni, wapiga kura wametakiwa kuwa makini na baadhi ya wanasiasa wanaowarubuni na kuchukua kadi zao za kupigia kura ‘vichinjio’.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Magu, Lutengano Mwalwiba ametoa tahadhari hiyo Oktoba 20, 2020 wakati akizungumzia maandalizi ya uchaguzi huo na kubainisha kuwa tayari wamepokea taarifa za wapiga kura 35 jimboni humo kurubuniwa vitambulisho vyao. #BMGHabari
*************************************************************
Our news is accompanied by various advertisements. We are not responsible for paying the reader or viewer of such advertisements so it is your optional to visit this site. For comments, business or any complaints, please contact us.
Binagi Media Group
S.L.P 265 Mwanza
Simu: +255 (0) 757 43 26 94
Barua Pepe: [email protected]
Tovuti: https://www.bmgblog.co.tz/
Habari zetu zimeambatana na matangazo mbalimbali. Hatuwajibiki kumlipa msomaji ama mtazamaji wa matangazo hayo hivyo ni hiari yako kutembelea mtandao huu. Kwa maoni, biashara ama malalamiko yoyote, wasiliana nasi tafadhali.
BLOG @BMG BLOG
Facebook @BMG HABARI
Twitter @bmghabari
Instagram @bmghabari
PAMOJA DAIMA BMG
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: