TAARIFA YA HABARI SAA 6 MCHANA | FEB 27, 2026
Автор: Kwizera TV
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 29
Описание:
Habari kuu mchana wa leo, kitaifa na kimataifa pamoja na Ujumbe kupitia Waza Wazua.
MIONGONI MWA TAARIFA TULIZONAZO NI PAMOJA NA
Wakulima wilayani Kibondo mkoani Kigoma watakiwa kuendelea kuzingatia kilimo mseto katika kutunza mazingira.
Wananchi wilayani Chato Mkoani Geita watakiwa kuendelea kupanda miti ili kudhibiti mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa mazingira.
NA
Wananchi wa Burundi watakiwa kuungana kwa manufaa ya familia zao na taifa kwa ujumla.
#rkhabari #radiokwizera #2026aminia
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA
Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/
LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE
© All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: