Imba Nyimbo za Sayansi na Mama Ndege! | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
Автор: Ubongo Kids Kiswahili
Загружено: 2018-01-17
Просмотров: 253242
Описание:
Jamani, hivi unajua nyimbo zinasaidia ubongo kukumbuka masomo kwa kiurahisi zaidi! Basi, jifunze masomo mbalimbali ya sayansi kupitia hizi nyimbo maalumu za Ubongo Kids!
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!
Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!
Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: