ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SIKU YA 2: Fundisho la YESU juu ya "MSAMARIA MWEMA" Mwl.Bryan

Автор: Trust the gospel ⏱️

Загружено: 2026-03-11

Просмотров: 14

Описание: Katika video hii nimeeleza kuhusu Fundisho la MSAMARIA kukoka katika kitabu cha LUKA 10:25-37. Jinsi Alivyo Fanya jambo kumshinda mlawi na Kuhani.
Luka 10:25-37
25 Na tazama, mwana-sheria mmoja alisimama amjaribu; akisema, Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?

26 Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje?

27 Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.

28 Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi nawe utaishi.

29 Naye akitaka kujidai haki, alimwuliza Yesu, Na jirani yangu ni nani?

30 Yesu akajibu akasema, Mtu mmoja alishuka toka Yerusalemu kwenda Yeriko, akaangukia kati ya wanyang'anyi; wakamvua nguo, wakamtia jeraha, wakaenda zao, wakimwacha karibu ya kufa.

31 Kwa nasibu kuhani mmoja alishuka kwa njia ile; na alipomwona alipita kando.

32 Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando.

33 Lakini, Msamaria mmoja katika kusafiri kwake alifika hapo alipo; na alipomwona alimhurumia,

34 akakaribia, akamfunga jeraha zake, akizitia mafuta na divai; akampandisha juu ya mnyama wake, akampeleka mpaka nyumba ya wageni, akamtunza.

35 Hata siku ya pili akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba ya wageni, akisema, Mtunze huyu, na cho chote utakachogharimiwa zaidi, mimi nitakaporudi nitakulipa.

36 Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?

37 Akasema, Ni huyo aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako, nawe ukafanye vivyo hivyo.
2 Wafalme 17:24-27
24 Naye mfalme wa Ashuru akaleta watu kutoka Babeli, na Kutha, na Ava, na Hamathi, na Sefarvaimu, akawaweka katika miji ya Samaria badala ya wana wa Israeli; wakaumiliki Samaria, wakakaa katika miji yake.

25 Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha Bwana; kwa hiyo Bwana akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao.

26 Kwa hiyo wakamwambia mfalme wa Ashuru, wakasema, Wale wa mataifa uliowahamisha, na kuwaweka katika miji ya Samaria, hawaijui kawaida ya Mungu wa nchi; kwa hiyo amepeleka simba kati yao, na tazama, wanawaua, kwa sababu hawaijui kawaida ya Mungu wa nchi.

27 Ndipo mfalme wa Ashuru akatoa amri, akasema, Mpelekeni mmojawapo wa makuhani, mliowachukua kutoka huko; aende akakae huko, akawafundishe kawaida ya Mungu wa nchi.
Video zingine
UTANGULIZI:    • SIKU 26 za Kutembea katika njia ya YESU. K...  
Siku ya 1 : Mwanamke mzinzi    • SIKU 1: Fundisho la YESU Juu ya mwanamke a...  
#2026 #revelation #reveal #yesu #torah #oldtestament #gospel #injili #mafundisho #tanzania #kenya #drcongo #congo #africa #april #march #pasaka #mfungo #maombezi #maombi

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SIKU YA 2: Fundisho la YESU juu ya "MSAMARIA MWEMA"  Mwl.Bryan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SIKU 1: Fundisho la YESU Juu ya mwanamke aliye Fumaniwa kwenye Uzinzi. Mwl.Bryan #revealjesus

SIKU 1: Fundisho la YESU Juu ya mwanamke aliye Fumaniwa kwenye Uzinzi. Mwl.Bryan #revealjesus

Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan #2026

Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan #2026

1 ПРИВЫЧКА ПЕРЕД СНОМ — И ЖИВОТ ИСЧЕЗАЕТ! Висцеральный жир сгорает после 55

1 ПРИВЫЧКА ПЕРЕД СНОМ — И ЖИВОТ ИСЧЕЗАЕТ! Висцеральный жир сгорает после 55

THAAD, Patriot, Iron Dome: почему ракеты Ирана прорывают ПВО Израиля? - Скотт Риттер

THAAD, Patriot, Iron Dome: почему ракеты Ирана прорывают ПВО Израиля? - Скотт Риттер

«ГДЕ ОН СКАЗАЛ: Я БОГ?!» — Мусульманин в шоке от ответа

«ГДЕ ОН СКАЗАЛ: Я БОГ?!» — Мусульманин в шоке от ответа

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

100 Rakiet Leci na Izrael! Zmuszają 750.000 Ludzi do Przesiedleń i Bombardują Pół Libanu!

100 Rakiet Leci na Izrael! Zmuszają 750.000 Ludzi do Przesiedleń i Bombardują Pół Libanu!

ПРОРОЧЕСТВО ДАНИИЛА 8 ИСПОЛНЯЕТСЯ — И АНТИХРИСТ УЖЕ В ПУТИ

ПРОРОЧЕСТВО ДАНИИЛА 8 ИСПОЛНЯЕТСЯ — И АНТИХРИСТ УЖЕ В ПУТИ

DECYDUJĄCY KARNY W KOŃCÓWCE! ARSENAL ZASKOCZONY WŁASNĄ BRONIĄ! BAYER - ARSENAL, SKRÓT MECZU

DECYDUJĄCY KARNY W KOŃCÓWCE! ARSENAL ZASKOCZONY WŁASNĄ BRONIĄ! BAYER - ARSENAL, SKRÓT MECZU

Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name

Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name

Hilo Haliwezekani KWA WANADAMU bali KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA Mwl.Bryan #ibadahonline

Hilo Haliwezekani KWA WANADAMU bali KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA Mwl.Bryan #ibadahonline

Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo  kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan #jesus #love

Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan #jesus #love

ПОЧЕМУ БОГ ПОСЛАЛ ЗЛОГО ДУХА, ЧТОБЫ МУЧИТЬ САМОГО ЦАРЯ САУЛА?

ПОЧЕМУ БОГ ПОСЛАЛ ЗЛОГО ДУХА, ЧТОБЫ МУЧИТЬ САМОГО ЦАРЯ САУЛА?

😮ШЕЙТЕЛЬМАН: Лютый КОЛЛАПС в Москве! Путин НА КОЛЕНЯХ перед Трампом. Сурков СРОЧНО СБЕЖАЛ: КОНЕЦ

😮ШЕЙТЕЛЬМАН: Лютый КОЛЛАПС в Москве! Путин НА КОЛЕНЯХ перед Трампом. Сурков СРОЧНО СБЕЖАЛ: КОНЕЦ

7 GOLI W PARYŻU! POTĘŻNE PSG ROZBIJA CHELSEA! PSG - CHELSEA, SKRÓT MECZU

7 GOLI W PARYŻU! POTĘŻNE PSG ROZBIJA CHELSEA! PSG - CHELSEA, SKRÓT MECZU

Известные христианские песни🎶 10 песен

Известные христианские песни🎶 10 песен

ՀՀ հակահետախոիզության բացահայտումը, Թրամպից ահանջում են Նեթանյահույին հանձնել Միջազգային դատարանին

ՀՀ հակահետախոիզության բացահայտումը, Թրամպից ահանջում են Նեթանյահույին հանձնել Միջազգային դատարանին

Трамп против Ирана: большой военный провал США - Скотт Риттер

Трамп против Ирана: большой военный провал США - Скотт Риттер

ПОЧЕМУ БОГ ВЗЯЛ ИЛИЮ ЖИВЫМ НА НЕБО В ОГНЕННОЙ КОЛЕСНИЦЕ? | БИБЛЕЙСКИЙ ДОКУМЕНТАЛЬНЫЙ ФИЛЬМ

ПОЧЕМУ БОГ ВЗЯЛ ИЛИЮ ЖИВЫМ НА НЕБО В ОГНЕННОЙ КОЛЕСНИЦЕ? | БИБЛЕЙСКИЙ ДОКУМЕНТАЛЬНЫЙ ФИЛЬМ

YESHUA | Or HaOlam (Luz del Mundo) y el Principio y el Fin

YESHUA | Or HaOlam (Luz del Mundo) y el Principio y el Fin

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]