WAJASIRIAMALI MTWARA WAKOSHWA NA MAFUNZO|DC MWAIPAYA AWAPA MBINU
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 72
Описание:
wajasiriamali wa Mtwara kuacha kuuza bidhaa ghafi na badala yake kuongeza thamani ili kupata faida zaidi na kufungua masoko mapya. Video hii inaonyesha kilichojiri kwenye semina ya utambuzi wa bidhaa, viwanda na matumizi ya Kilimnemba iliyofanyika Chuo cha Ualimu TTC Mtwara, ambapo washiriki kama Fatma Hamis Ali, Suleiman Masudi Mambo na Sofia Kitale wanasimulia namna mafunzo yalivyowasaidia kubadili mtazamo wa biashara. Pia utasikia kutoka kwa Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara, Bi Merina Mkuchu, kuhusu lengo la kuongeza ubunifu na ushindani wa bidhaa sokoni.
DC wa Mtwara Mjini, Abdallah Musa Mwaipaya, ametoa wito mzito: ongeza thamani kabla ya kuuza. Tazama hadi mwisho ujifunze mbinu, teknolojia na mawazo ya kuongeza thamani kwa mazao na bidhaa zako.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...
#Mtwara #SIDO #WajasiriamaliTanzania ##ViwandaVidogo #TTCMtwara #Ujasiriamali #Masoko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: