Ngoma ya sindimba
Автор: IRINGA ONE
Загружено: 2021-04-27
Просмотров: 1340
Описание: Ngoma hiyo ya sindimba huchezwa katika nyakati za arusi na matukio muhimu ya sherehe ikiwemo jando na unyago. Imechezwa na wasanii wa Mundu Arts Group, kutoka Mtwara. Wasanii hao walicheza katika tamasha la Tulia lililofanyika Rungwe mkoani Mbeya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: