Rais Magufuli atoa miezi 2 kwa TANESCO kupeleka umeme kiwanda cha kampuni ya Bakhresa Food Product.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-10-06
Просмотров: 18429
Описание: Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametoa miezi miwili kwa shirika la umeme nchini TANESCO kuhakikisha umeme mkubwa wa uhakika unapatikana bila urasimu katika kiwanda cha kampuni ya Bakhresa Food Product kinachozalisha vinywaji baridi na kusindika matunda ili kumpunguzia gharama za uzalishaji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: