Wivu wa Kitai PART 4 Mijikenda Giriama Movies Mbalamwezi Films Pwani
Автор: Mbalamwezi Films Official
Загружено: 2023-10-07
Просмотров: 116952
Описание:
Hii ni sehemu ya nne ya filamu ya kusisimua ya Wivu wa Kitai.
Baada ya Babake Karembo kugundua kwamba Safari alikua X wa bibi yake (part 3) babake Karembo anampiga bibi yake na kuweka uadui kati yake na Safari. Ngolo anaingilia kati kama mtetezi wa hadi za wanawake lakini mambo yanazidi kuwa mabaya. Je mwishowe ni itakuaje?
Filamu hii ni ya kuchekesha na kufundisha jamii kwamba wivu usio na kiasi na pia kukosa kuaminiana katika ndoa huvunja ndoa familia kwa jumla. KATAA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: