#live
Автор: Smile Media
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 29
Описание:
LONGIDO YAANZA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE JUMLA YA WANUFAIKA 9964 TASAF KUPATA BIMA BURE.
Mkuu wa Wilaya ya Longido,Salum Kalli,amezindua rasmi zoezi la usajili na utoaji wa Bima ya Afya,unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kwa awamu ya kwanza,inayohusisha wanufaika wa mpango wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)wilayani humo.
Kalli,amesema kuanza kwa utoaji wa bima hiyo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,aliyoitoa wakati wa kampeni,ya kuhakikisha ndani ya siku 100 za awamu ya uongozi wake,kila Mtanzania,anakuwa na Bima ya Afya Kupitia Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote.
"Leo hapa Longido,wananchi waliopo kwenye mpango wa TASAF wanaanza kujiandikisha na kupatiwa kadi za Bima ya Afya bure.Serikali tayari imewalipia gharama zote.
Nawahimiza wanufaika wote kujitokeza katika vituo vilivyotengwa ili kujiadikisha na kupata bima."Mhe Kalli.
Aidha Kalli,alisema lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma za afya bure kupitia vituo vyote vya kutolea huduma vilivyopatiwa usajili nchini mara tu bima hiyo itakapoanza kufanya kazi kikamilifu.
Uzinduzi huo umefanyika Februari 12,2026 katika Ofisi ya kata Longido,ambapo Mhe.Kalli alisema kuwa jumla ya wanufaika,9964 waliopo kwenye mpango wa TASAF wanatarajia kisajiliwa na kupatiwa bima ya Afya bure,ambapo gharama zote zikiwa zimelipwa na Serikali.
Awali,januari 23,2026,Waziri wa Afya,Mhe.Mohamed Mchengerwa,alitangaza rasmi kuanza kwa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote kwa awamu ya kwanza,inayolenga makundi maalum yasiyo na uwezo wakiwemo wazee,wajawazito,watoto na watu wenye ulemavu,ambapo gharama zao zote zitalipwa na Serikali.
#bongo #show #live #zuchu #breakingnews #art #ayotv #millardayo #bollywood
Ahsante kwa kuwa mwana familia wa(SMILE MEDIA)
subscribe
like
Comment.
#binatv
#DIAMOND PLATNUM
#ALIKIBA
#HARMONIZE
@MANARA
#MILLARD AYO
#SIMULIZE NA SAUTI
#MBENGOTV
#BONGO TOUCH
#PTV TANZANIA
@NANDY
#ZUCHU
#MBOSSO
#ZUCHU NA DIAMOND
#RICK MEDIA
#TREND VIDEO
#BONGO 5
#BONGO 24
#S500
#SHOW YA DIAMOND
#SHOW YA HARMONIZE
#SHOW YA MBOSSO
#SHOW YA ZUCHU
#MANARA TV
#BABA LEVO
#MWIJAKU
#DOTTO MAGARI
#H BABA
#EFM
#CLOUDTV
#UMBEA WA MJINI
#BONGO TRENG
#WEMA SEPETU
#MAJABU YA DIAMOND
#WASAFI
#MBINGO TV
#MIDDSIMBA
#UDAKU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: