DR KAJIUA BAADA YA KUJUA ANA CORONA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-04-06
Просмотров: 3291
Описание: Club ya Stade Reims ya Ligi Kuu nchini Ufaransa imethibitisha kifo cha doctor wa timu yao Bernard Gonzalez ikiwa ni siku chache zimepita toka athibitike kuwa ana virusi vya corona, Dr Gonzalez amefariki sio kwa corona ila aliamua kujiua mwenyewe baada ya kujua kuwa amepata maambukizi ya virusi vya corona, Gonzalez ,60, ameacha barua ya kueleza sababu ya kujiua kwake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: