NGUZO YA MAFANIKIO - Mt. John Bosco Sirari. (Official Music Video) Pro Studios
Автор: Kwaya ya Mt. John Bosco Sirari_Tarime
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 186
Описание:
Wimbo wenye hamasa na mafundisho kwa vijana na watu wote wanaopambana katika maisha ili kupata mafanikio, nini hasa cha kuzingatia katika misingi ya kimungu na kupata mafanikio yenye kumcha Mungu.
Wimbo: NGUZO YA MAFANIKIO
Waimbaji: KWAYA YA MT. JOHN BOSCO
Parokia: Mt. MIKAEL MALAIKA MKUU
SIRARI - TARIME
Mtunzi: Mwita Isack
Kinanda: Mwita Isack
Studio: Pro Studios
#catholic #catholicchurch #music #pianomusic #radiomaría #donbosco #donboscomedia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: