WIKI YA MAZINGIRA KKKT - YAHITIMISHWA KWA KISHINDO DAYOSISI YA KONDE KWA KUPANDA MITI 3100
Автор: ELCT KONDE TV
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 251
Описание: KKKT Dayosisi ya Konde yaungana na Wana KKKT kote Tanzania kuadhimisha siku ya mazingira ambayo ilianza tarehe 4 Machi na kilele chake ni tarehe 14. Katika kuunga mkono huko Dayosisi ya Konde ilitenga eneo maalum na kuweza kupanda miti aina mbali mbali ili kutunza mazingira ambayo yanatuzunguka mpaka Leo tayari miti 3100 imepandwa katika eneo Hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: