DPP AFUNGUA SHAURI la MAPITIO JUU ya UAMUZI wa KESI ya UHAINI ya TUNDU LISSU...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 1954
Описание:
DPP AFUNGUA SHAURI la MAPITIO JUU ya UAMUZI wa KESI ya UHAINI ya TUNDU LISSU...
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa niaba ya Jamhuri amefungua shauri la mapitio juu ya uamuzi wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu
Akiwasilisha taarifa hiyi mahakamani leo Wakili wa Serikali Mkuu Renatus Mkude amesema taarifa hiyo mapitio imeungwa mkono na kiapo cha Wakili wa Serikali Cuthbert Mbilinyi na imewasilishwa katika mifumo rasmi ya mahakama ya Tanzania leo Februari 24, 2026 na kupokelew Mahakama ya Rufaa ya Tanzania Dar es Salaam kama shauri la mapitio na kupewa namba 7203216/2026.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: