Kijito cha Utakaso (Contemporary Version) - Tenzi za Milele
Автор: Tenzi za Milele
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 31773
Описание:
Wimbo huu unasisitiza nguvu ya utakaso iliyomo katika damu ya Yesu, ukimtambulisha Kristo kama chemchemi ya wokovu na utakaso wa kweli. Unaonesha kuwa kupitia sadaka yake, dhambi huoshwa, uovu huondolewa, na mwanadamu hupata uzima mpya. Ni tangazo la imani kwamba hakuna nguvu nyingine inayoweza kusafisha moyo isipokuwa damu ya Mwokozi.
ALBAMU ZINAPATIKANA
------------------
Kupata albamu za Tenzi au kutembelea accounts zetu za mitandao ya kijamii na streaming platforms tumia link: https://linktr.ee/tenzizamilele
MASHAIRI
------------------
Kijito cha utakaso
ni damu ya Yesu
Bwana anao uwezo
kunipa wokovu
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo
Nimepata utakaso
Viumbe vipya naona
damu ina nguvu
meharibu uovu
ulionidhulumu
Naondoka kutembea
nuruni mwa mbingu
Na moyo safi kabisa
kumpendeza Mungu
Ni neema ya ajabu
kupakwa na damu
na Bwana Yesu kumjua
Yesu wa Msalaba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: