WATU WAWILI WANASWA NA DAWA ZA KULEVYA ARUSHA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 1078
Описание:
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imekamata watu wawili wakiwa na Kilogramu 363.45 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi, ambazo zimeteketezwa katika Dampo la Jiji la Arusha.
Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, Afisa Sheria wa Mamlaka hiyo Kanda ya Kaskazini Bw. Benson Mwaitenda, amesema kukamatwa kwa mirungi ni matokeo ya Operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya mkoa wa Arusha.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: