ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA WAFIKIA ASILIMIA 40, TATIZO LA MAJI DAR LINAELEKEA KUMALIZIKA

Автор: Jamii focus

Загружено: 2025-12-16

Просмотров: 198

Описание: UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA WAFIKIA ASILIMIA 40, TATIZO LA MAJI DAR LINAELEKEA KUMALIZIKA

Ujenzi wa Bwawa Kubwa la Kuhifadhi Maji la Kidunda, linalotekelezwa mkoani Morogoro, umefikia asilimia 40 ya utekelezaji, hatua inayotoa matumaini mapya ya kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Bwawa hilo linatarajiwa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 190 za maji, huku likigharimu zaidi ya shilingi bilioni 335, na linapangwa kukamilika mwaka 2026.

Mradi huo wa kimkakati unalenga kuimarisha upatikanaji wa maji kwa matumizi ya binadamu, viwanda na shughuli nyingine za kijamii na kiuchumi, sambamba na kusaidia Taifa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Akizungumza baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa bwawa hilo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati ili kuondoa kabisa tatizo la maji kwa wakazi wa Dar es Salaam, Pwani na maeneo jirani.

Aweso amesisitiza kuwa ulinzi wa vyanzo vya maji na mazingira yanayozunguka bwawa hilo ni jambo la msingi ili kuhakikisha bwawa linajaa maji mara baada ya kukamilika na linaendelea kuwa endelevu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amesema mradi wa Bwawa la Kidunda ni fursa kubwa ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mkoa huo na Taifa kwa ujumla.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu, Mhandisi Elibariki Mmassi, ameeleza kuwa usimamizi madhubuti wa vyanzo vya maji na ushirikiano wa wananchi ni nguzo muhimu ya mafanikio ya mradi huo mkubwa wa kimkakati.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA WAFIKIA ASILIMIA 40, TATIZO LA MAJI DAR LINAELEKEA KUMALIZIKA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

FURSA ZAIDI ZATANGAZWA MRADI WA KIDUNDA

FURSA ZAIDI ZATANGAZWA MRADI WA KIDUNDA

VIWANDA VYA KUTENGEZA FRIJI NA SOLAR MKOAN PWANI VYA WASHANGAZA MAWAZIRI HAWA WANNE

VIWANDA VYA KUTENGEZA FRIJI NA SOLAR MKOAN PWANI VYA WASHANGAZA MAWAZIRI HAWA WANNE

UJENZI BWAWA LA KIDUNDA KUANZA JUNI 2023

UJENZI BWAWA LA KIDUNDA KUANZA JUNI 2023

Заместитель министра образования Хафид Амейр приказал VETA немедленно возобновить приостановленны...

Заместитель министра образования Хафид Амейр приказал VETA немедленно возобновить приостановленны...

CONGO BAD VISITE DU DATA CENTER

CONGO BAD VISITE DU DATA CENTER

KERO YA MAJI DAR KUMALIZWA! UJENZI WA BWAWA LA MAJI LA KIDUNDA WAFIKA ASILIMIA 40 -  WAZIRI AWESO

KERO YA MAJI DAR KUMALIZWA! UJENZI WA BWAWA LA MAJI LA KIDUNDA WAFIKA ASILIMIA 40 - WAZIRI AWESO

Niepozorne, a groźne – to niszczy nerki bez objawów!

Niepozorne, a groźne – to niszczy nerki bez objawów!

Zapomniane historyczne kadry, które miały nigdy nie ujrzeć światła dziennego

Zapomniane historyczne kadry, które miały nigdy nie ujrzeć światła dziennego

LA SEMAINE DU D.G : IMMERSION AU COEUR DU PONT NGUDIABAKA/ ROCADE SUD-OUEST DE KINSHASA

LA SEMAINE DU D.G : IMMERSION AU COEUR DU PONT NGUDIABAKA/ ROCADE SUD-OUEST DE KINSHASA

CONGO Rocades de Kinshasa  la commission infrastructures du sénat évalue l’avancement des travaux

CONGO Rocades de Kinshasa la commission infrastructures du sénat évalue l’avancement des travaux

KOLESIOSTWO, PODWYŻKI, KRAKÓW W DŁUGACH. REFERENDUM O ODWOŁANIE MISZALSKIEGO

KOLESIOSTWO, PODWYŻKI, KRAKÓW W DŁUGACH. REFERENDUM O ODWOŁANIE MISZALSKIEGO

Ukraina zrobiła coś NIEWIARYGODNEGO w Pokrowsku… Rosja nie ma szans!

Ukraina zrobiła coś NIEWIARYGODNEGO w Pokrowsku… Rosja nie ma szans!

BILIONI 1.5 ZAREJESHA TABASAMU KWA WANAFUNZI WA KIKE KILOSA

BILIONI 1.5 ZAREJESHA TABASAMU KWA WANAFUNZI WA KIKE KILOSA

KAIMU MKURUGENZI BANDARI YA DSM

KAIMU MKURUGENZI BANDARI YA DSM

UJENZI WA BARABARA YA IRINGA  RUAHA KUCHOCHEA UTALII NA KUKUZA UCHUMI WA WANANCHI

UJENZI WA BARABARA YA IRINGA RUAHA KUCHOCHEA UTALII NA KUKUZA UCHUMI WA WANANCHI

RPC MKAMA AWAONGOZA ASKARI KUPANDA 8000.

RPC MKAMA AWAONGOZA ASKARI KUPANDA 8000.

Cotonou City - Benin 4K By Drone 2025

Cotonou City - Benin 4K By Drone 2025

ZIELONI STAJĄ SIĘ CZERWONI? Szaleństwo Komisji Europejskiej | A. Klarenbach

ZIELONI STAJĄ SIĘ CZERWONI? Szaleństwo Komisji Europejskiej | A. Klarenbach

DC TUNDURU ATEMA NYONGO ACHUKIZWA NA BAADHI YA VIONGOZI WENYE CHUKI ZA KIMAENDELEO

DC TUNDURU ATEMA NYONGO ACHUKIZWA NA BAADHI YA VIONGOZI WENYE CHUKI ZA KIMAENDELEO

Japonia wkracza do wojny: Katastrofa Putina za 32 miliardy!

Japonia wkracza do wojny: Katastrofa Putina za 32 miliardy!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]