ASKOFU MKUU NKWANDE AOMBOLEZA KIFO CHA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO
Автор: Jimbo Kuu la Mwanza | JKM Online tv
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 938
Описание:
Kufuatia kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki usiku wa Alhamis Februari, 19, 2026, kama ilivyotangazwa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam Thaddaeus Ruwa'ichi, Mha.Renatus Nkwande anatoa salamu za pole, huku akionesha kuguswa na msiba huo mzito kwa kanisa la Tanzania.
Mhashamu Baba Askofu mkuu Renatus Nkwande, amewataka waamini wa Jimbo kuu katoliki Mwanza kumuombea pumziko la amani mbinguni pia kuungana na waamini wa Jimbo kuu la Dar es Salaam katika mazishi yatakayofanyika Tarehe 28/02/2026 katika kituo cha Hija Pugu - Dar es Salaam, ambapo pia amethibitisha kushiriki katika mazishi hayo.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI.... AMINA🙏🏽
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: