KIMEWARAMBA! WASHUKIWA WA WIZI KWENYE DALADALA MWANZA WANASWA
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 151
Описание:
Watu 19 wakiwepo madereva na makondakta wa dalala jijini Mwanza wametiwa mbaroni na jeshi polisi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uwizi dhidi ya abiria wanaotumia usafiri huo kwenye maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini humo Kamanda wa Polisi DCP Wilbroad Mutafungwa amesema watuhumiwa wamekamatwa kufuatia operesheni maalumu iliyofanywa baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kukithiri kwa vitendo vya uwizi huo uliopewa majina ya Laki si pesa na Manowali na kuwaachia makovu ya hasara wakazi wa jiji hilo.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: