AFARIKI BAADA YA KUKANYAGWA NA TEMBO TUNDURU,SERIKALI YACHUKUA HATUA
Автор: Nyasa DC Online
Загружено: 2022-06-27
Просмотров: 109
Описание: Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Mheshimiwa Julius Mtatiro ameeleza masikitiko yake baada ya mtu mmoja kufariki dunia baada ya kuvamiwa na kukanyagwa na tembo.Alikuwa anatoa taarifa ya Ulinzi na Usalama kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge alipofanya ziara ya kikazi wilayani humo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: