“Usichague kazi, ukifanikiwa kupata, hakikisha unaifanya kwa utofauti”
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2023-10-04
Просмотров: 802
Описание:
Japokuwa alikuwa amehitimu shahada ya masomo ya mazingira, Jack Omondi alikuwa na mtihani wa kupata kazi ya taaluma yake aliyoisomea na ilimbidi kutafuta kazi ya kufanya usafi ofisini.
Na alipopata kazi ya kuwa msafishaji wa ofisi, aliifanya kwa moyo mmoja na kwa bidii kitendo kilichosababisha kupata kazi ya uhasibu kwenye kwenye benki ile ile ambayo aliyokuwa akiisafisha.
Hii hapa hadithi yake.
Video: Judith Wambare
-
-
-
#bbcswahili #kenya #vijana
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: