ZITTO TUNAICHUKUA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
Автор: MJ ONLINE TV
Загружено: 2025-05-08
Просмотров: 42328
Описание:
MWANACHAMA na kiongozi Mkuu Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo ZITTO KABWE amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama chake kupeperusha bendera ya chama hicho kwa nafasi ya ubunge jimbo la Kigoma mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 na lengo ni kutaka kuichukua Manispaa ya Kigoma Ujiji.
TAARIFA NA MWAJABU HOZA.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: