WIZI WA VIFAA DARAJA LA JPM, KAMANDA USO KWA USO NA MKANDARASI, WATU NANE WAMEKAMATWA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-05-07
Просмотров: 134778
Описание: Baada ya taarifa kuwa kuna wizi wa vifaa kwenye ujenzi wa mradi wa Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi, Kamanda wa Polisi Mwanza Jumanne Muliro amefika ofisi ya Mkandarasi akiwa na kikosi kazi maalumu na kumuuliza maswali ya papo kwa papo na tayari wanawashikilia watu nane wa kuhujumu miundombinu ya mradi wa ujenzi wa Daraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: