Скачать
Vijana wavamia mochari Nairobi, wachukua jeneza la rafiki aliyefariki kwa mafuriko
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 7752
Описание: Kizaazaa kimeshuhudiwa leo katika makafani ya Nairobi baada ya kundi la vijana kufika na kutwaa kwa nguvu mwili wa rafiki yao. Vijana hao waliingia kwa nguvu ndani ya mochari na kuchukua jeneza la marehemu nicholas kyalo, aliyefariki kwa mafuriko ijumaa iliyopita. Hata hivyo, zogo lilizidi pale walipogundua kuwa sanduku halikuwa na mwili. Maiti zaidi za waathiriwa wa mafuriko zimefikishwa katika hifadhi na kufikisha 30 idadi ya waliofariki Nairobi.
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: