DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 18.02.2026 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 5810
Описание:
Karibu kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 18.02.2026 | Swahili News na miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na:
Iran na Urusi kufanya luteka ya kijeshi ya majini katika Bahari ya Oman na sehemu ya kaskazini ya Bahari ya Hindi siku ya Alhamisi.
Wajumbe wa majadiliano wa Urusi na Ukraine wamekutana mjini Geneva katika mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Marekani, lakini hadi sasa hakuna dalili za mafanikio ya haraka.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahilimchana #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: