Salamu kutoka kwa wachezaji wapya wa Azam FC
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-08-16
Просмотров: 6270
Описание:
USAJILI AZAM FC: Sikia neno kutoka kwa ‘vyuma’ vipya vitatu ambavyo Azam FC wamevitangaza kuanzia jana usiku mpaka leo alfajiri,
Wachezaji hao ni Tayeb Ben Zitoun kutoka Al Hilal Omdurman ya Sudan, winga Baraket Lhmidi kutoka CS Sfaxien ya Tunisia na golikipa Issa Fofana ambaye pia ametokea Al Hilal.
(Imeandaliwa na @allymufti_tz)
#AzamFC @abdulkarim.amin
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: