MFANYABIASHARA wa MADINI ALIYEPOTEA ARUSHA AKUTWA AMEFARIKI - ATOBOLEWA MACHO na KUVUNJWA MKONO...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 2639
Описание:
MFANYABIASHARA wa MADINI ALIYEPOTEA ARUSHA AKUTWA AMEFARIKI - ATOBOLEWA MACHO na KUVUNJWA MKONO...
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Saa chache baada ya kuripotiwa kupotea kwa mfanyabiashara wa madini, Abdillah Mussa maarufu kama Banjo, mkazi wa Sanawari jijini Arusha, mwili wake umepatikana katika eneo la Bereko, wilayani Kondoa mkoani Dodoma.
Taarifa za mwanzo zinaeleza kuwa mwili huo ulikutwa kandokando ya barabara ukiwa katika hali ya kuharibika, jambo lililozua taharuki na maswali mengi juu ya mazingira ya kifo chake.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: