Mazishi ya watoto watatu waliofariki Soysambu, Gilgil yafanyika leo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 2331
Описание: Ibada ya mazishi ya watoto watatu wa familia moja waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Soysambu, Gilgil kaunti ya Nakuru tarehe nne januari ilifanyika leo. Familia na marafiki wamewakumbuka Njeri Deleon, Emmanuel Deleon na Kairo Winkelpleck kama watoto wacheshi, wenye talanta na walioleta furaha kwa wote waliotangamana nao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: