MWANZO MPYA NA UDHIHIRISHO (PART 2) - NGUVU YA KUTAFAKARI
Автор: ROLF PAUL KIBAJA
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 75
Описание: Somo hili limejengwa katika msingi wa Kitabu cha Isaya 43:18-19, Maneno ya Kinabii kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Nabii Isaya kutokumbuka Mambo ya zamani . Wapo watu wengi wanashindwa kupiga hatua na Kushindwa kuanzisha kile ambacho Mungu amekiweka ndani yao kwasababu ya historia ya kushindwa na hofu ya kushindwa kuanza. Kipindi hiki kitakusaidia kujifunza umuhimu wa kutafakari Neno la Mungu Kila siku ili kukusaidia kusonga Mbele. Fuatilia maombi maalum Mwisho wa somo hili kwaajili ya Hatma yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: