Raymond Makongwa akielezea kuhusu faida za Laser Debeaking (Ukataji wa midomo ya kuku wa mayai)
Автор: Interchick Tanzania
Загружено: 2023-10-25
Просмотров: 799
Описание:
Interchick Tanzania tunayofuraha kuzindua huduma yetu mpya ya Laser Debeaking (ukataji wa midomo ya kuku wa mayai kwa njia ya mionzi).
Mtalamu wetu ameelezea faida anazopata mfugaji wa kuku wa mayai pale anapotumia huduma hii katika ufugaji wake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: