EXCLUSIVE: BARNABA AKIRI KUBADILI DINI.. ANAITWA MOHAMED, MAUA YA DIAMOND, AELEZEA YA HARMONIZE -PT1
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2023-02-21
Просмотров: 65183
Описание:
Ni wengi walitamani kumsikia Barnaba atasemaje kuhusu taarifa za yeye kubadili dini ambapo hatimaye AMPLIFAYA ya CloudsFM imempata kwenye ukurasa namba 2 chini ya Millard Ayo, Frida Amani na Vido Vidox na akakiri ni kweli amebadili dini.
Amesimulia mengi sana kwenye hii sehemu ya kwanza ya Interview yake ikiwemo Diamond alivyojitoa kwake kwenye kuandaa album yake mpya, kwanini Harmonize hajashirikishwa, maamuzi aliyoyafanya Diamond kuhusu uwe wa Alikiba kwenye album hiyo, Diamond alivyom-suprise kwa kutoa pesa zake mfukoni kulipia vitu vingine....
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: