KILICHOMPATA KANALI ALI MAHFOUDH NA KUFUKUZWA NCHINI-MAELEZO YA MKEWE BI. NAILA JIDDAWI
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2021-10-31
Просмотров: 101321
Описание: Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar alikuwa Komandoo maarufu sana katika visiwa hivyo na Tanzania kwa ujumla. Alishiriki katika harakati za uhuru kwa nchi nchi za Afrika. Lakini baadae chini ya utawala wa Nyerere, Kanali Mahfoudh alikamatwa baada ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume yeye pamoja na wenyiwe wengine na kuwekwa kizuizini na kisha kuachiwa na kwenda Msumbiji. Aliishi Msumbiji hadi kifo chake. Mkewe Bi Naila Jiddawi, mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar anaelezea kilichotokea na mambo yalivyokuwa. Tazama video hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: