🔴🆕LIVE- IBADA YA KILELE CHA WIKI YA WANAUME | FPCT KITANGIRI LIVE SERVICE.
Автор: FPCT Kitangiri Mwanza
Загружено: 2024-11-16
Просмотров: 553
Описание:
Thanks for tuning in.
We are broadcasting live from Mwanza Tanzania.
we are live every Sunday at 0730EA GMT .
Please like, share , subscribe and let others know that we are live.
FPCT Kitangiri does not own some of the original Music played here.
be blessed
Asante kwa kushiriki nasi.
Tunarusha matangazo haya mubashara kutoka Mwanza Tanzania.
Tupo mubashara kila Jumapili saa moja na nusu asubuhi.
Kumbuka kubonyeza kitufe cha like na kuwajulisha watu wengine kuwa ibada zetu ni mubashara kupitia mitandao ya kijamii, Youtube na facebook.
Barikiwa.
0:00 Intro.
1:01 Utangulizi na ufunguzi wa ibada.
3:54 Ni heri kuona ndugu | Nyimbo za wokovu.
9:04 Yu hai Jehovah.
18:00 Mfalme Mwema.
30:10 Ukaribisho wa ibada
33:35 Shukrani na mahitaji.
35:43 Watu wako tupo mbele zako | Wanaume Kitangiri.
41:14 Maombi ya shukrani.
44:02 Tumekuja Mbele zako | Wanaume Kitangiri.
50:54 Mungu anafanya jambo jipya.
57:55 Matangazo ya Kanisa.
1:08:18 Nani kama Wewe.
1:14:34 Tumekuja Mbele zako
1:24:00 Somo: Agizo kuu | Mch. Benjamin Rutashoborwa
2:39:00 Mwanamke Tabitha.
2:46:26 Mungu ni Mwema.
2:52:20 Shukrani kutoka mwenyekiti.
3:10:00 Mahojiano na Kufunga.
2:20:40 End
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: