ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mafunzo ya Ushonaji, Ubunifu wa Mavazi na Teknolojia ya Nguo yanayotolewa VETA Dakawa

Автор: VETA Tanzania

Загружено: 2019-09-22

Просмотров: 7072

Описание: Mpenzi mtazamaji Ushonaji na Ubunifu wa mavazi ni miongoni mwa sekta ambazo hivi karibuni zimeonyesha mchango mkubwa katika maendeleo ya viwanda nchini.

Sekta hii imezalisha ajira kwa vijana wengi hasa ajira binafsi na hivyo kuwawezesha vijana hao kutengeneza kipato kwa ajili ya kuendesha maisha yao na jamii kwa ujumla.
Viwanda vya uzalishaji nguo, navyo vimekuwa vikihitaji nguvu kazi yenye ujuzi wa kutosha katika kuendesha viwanda hivyo huku msisitizo ukiwa ni kuzalisha nguo zenye ubora unaokubalika kimataifa na kupunguza utegemezi wa bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi.

Msisitizo wa Serikali ya awamu ya Tano ni kuhakikisha viwanda vingi zaidi vinaanzishwa ili kuwezesha ukuaji wa uchumi wa nchi na kuwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Uanzishwaji wa viwanda vya nguo nchini, unazaa mahitaji ya nguvu kazi bora ya kutosha yenye stadi stahiki za kuwezesha uzalishaji wa nguo zenye ubora hapa nchini.

VETA imekuwa ikitoa stadi na kuandaa nguvu kazi yenye ujuzi wa kutosha katika kuwezesha uzalishaji na ubunifu wa mavazi bora.
katika kipindi hiki tumeangazia kwa kina mafunzo ya ushonaji na teknolojia ya mavazi ambapo tutaweza kujionea namna mafunzo hayo yanavyotolewa katika hatua mbalimbali katika chuo cha VETA Dakawa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mafunzo ya Ushonaji, Ubunifu wa Mavazi na Teknolojia ya Nguo yanayotolewa VETA Dakawa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

jinsi ya kukata suluali ya kiume ya kisasa

jinsi ya kukata suluali ya kiume ya kisasa

Mafunzo ya Ubunifu wa Mavazi na Teknolojia ya Nguo

Mafunzo ya Ubunifu wa Mavazi na Teknolojia ya Nguo

EACB NA SEMS APPAREL WAINGIA MAKUBALIANO KUTOA MAFUNZO YA UBUNIFU WA MAVAZI

EACB NA SEMS APPAREL WAINGIA MAKUBALIANO KUTOA MAFUNZO YA UBUNIFU WA MAVAZI

MBUNGE WASHINDWA ENGLISH?, MZUNGU AWASHANGAA, KULIKUWA NA ULAZIMA WA KIINGEREZA? KIKEKE AHOJI

MBUNGE WASHINDWA ENGLISH?, MZUNGU AWASHANGAA, KULIKUWA NA ULAZIMA WA KIINGEREZA? KIKEKE AHOJI

MAFUNZO KATIKA FANI YA USHONAJI, UBUNIFU NA TEKNOLOJIA YA NGUO KATIKA CHUO CHA VETA MWANZA

MAFUNZO KATIKA FANI YA USHONAJI, UBUNIFU NA TEKNOLOJIA YA NGUO KATIKA CHUO CHA VETA MWANZA

#EXCLUSIVE: DAKTARI ALIYEGEUKIA UFUNDI NGUO, ANAPIGA PESA KWENYE USHONAJI wa SARE za HOSPITALI

#EXCLUSIVE: DAKTARI ALIYEGEUKIA UFUNDI NGUO, ANAPIGA PESA KWENYE USHONAJI wa SARE za HOSPITALI

MREMBO ASIMULIA ALIVYOACHA KAZI YA KUAJIRIWA NAKUJIKITA KWENYE BIASHARA

MREMBO ASIMULIA ALIVYOACHA KAZI YA KUAJIRIWA NAKUJIKITA KWENYE BIASHARA "NIMEFANYA MIAKA 20"

KAZI NZURI YA CHUO CHA UFUNDI STADI MBEZI | WANAFUNZI KUJIAJIRI | MKUU WA CHUO AELEZA

KAZI NZURI YA CHUO CHA UFUNDI STADI MBEZI | WANAFUNZI KUJIAJIRI | MKUU WA CHUO AELEZA

LIVE: WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WATU WA VETA, ATAFAFANUA WENYE DEGREE KWENDA VETA?

LIVE: WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WATU WA VETA, ATAFAFANUA WENYE DEGREE KWENDA VETA?

| SEMA NA CITIZEN | Biashara Ya Ushonaji Nguo [Part 1]

| SEMA NA CITIZEN | Biashara Ya Ushonaji Nguo [Part 1]

Fursa za Mafunzo Katika Fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya Nguo Katika Chuo cha VETA Mwanza

Fursa za Mafunzo Katika Fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya Nguo Katika Chuo cha VETA Mwanza

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Jeans kwa Ubora wa Kimataifa na kuuza Nchini Marekani

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Jeans kwa Ubora wa Kimataifa na kuuza Nchini Marekani

NATEGEMEA KUPATA MILLION 100 NDANI YA MIEZI MICHACHE KWA NGURUWE 135

NATEGEMEA KUPATA MILLION 100 NDANI YA MIEZI MICHACHE KWA NGURUWE 135 "MZEE MANJENGO" MFUGAJI MKONGWE

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Jionee Kazi ya Kiwanda Bora cha Ushonaji #SUMAJKT #JWTZ

Jionee Kazi ya Kiwanda Bora cha Ushonaji #SUMAJKT #JWTZ

⚡️ «Подарок» Путину от ВСУ || Зеленский обратился к армии РФ | Спецоперация СБУ

⚡️ «Подарок» Путину от ВСУ || Зеленский обратился к армии РФ | Спецоперация СБУ

Женщина строит тайное подземное убежище в горах за 90 дней | by @ĐiềnTiểuCaFarm86

Женщина строит тайное подземное убежище в горах за 90 дней | by @ĐiềnTiểuCaFarm86

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MREFU KATIKA VYUO VYA VETA 2026

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MREFU KATIKA VYUO VYA VETA 2026

VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI (FDCs) KUTOA MAFUNZO YA FANI ZINAZOPENDWA NA ZINAZOTOA AJIRA

VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI (FDCs) KUTOA MAFUNZO YA FANI ZINAZOPENDWA NA ZINAZOTOA AJIRA

Почему Польша купила тысячу корейских танков вместо Абрамсов и Леопардов?

Почему Польша купила тысячу корейских танков вместо Абрамсов и Леопардов?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]