WATANZANIA WENGI HAWANA ELIMU KUHUSU BIMA YA MAISHA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-04-13
Просмотров: 609
Описание:
Wa Tanzania wengi hasa waishio pembezoni mwa miji imedaiwa bado hawana uelewa wa kutosha kuhusu umuhimu wa kuwa na bima ya maisha yao pamoja na mali zao kwa ujumla.
Kaimu meneja shirika la bima la Taifa (NIC) tawi la Kibaha John Mghase amesema wamegundua kuwa watu wengi wanaoishi vijijini si kwamba hawana uwezo wa kujiunga na bima bali wanashindwa kujiunga kwa kuwa elimu bado haijawafikia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: