MAALIM SEIF ATOBOA SIRI WABUNGE CUF KUTUMIA POSHO ZAO KUICHANGIA ACT-WAZALENDO"
Автор: MwanaHALISI TV
Загружено: 2020-06-20
Просмотров: 33350
Описание: Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoboa siri ya kuwa wabunge 21 wa chama cha CUF waliojiunga na chama hicho mara baada ya Bunge la Tanzania kufungwa rasmi walikuwa wakichangia chama cha ACT-Wazalendo kwa fedha ambazo walikuwa wakizipata kama ruzuku wakiwa wabunge wa CUF.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: