Zifahamu Dalili 12 za kisukari ambazo ni za kawaida kwa aina zote 3 za kisukari!
Автор: Mshani Wellness
Загружено: 2024-05-23
Просмотров: 4584
Описание:
Kisukari ni moja ya matatizo hatari ya kiafya. Kuna aina kuu 3 za kisukari, kisukari aina ya kwanza ( type 1 diabetes ), kisukari aina ya pili ( type 2 diabetes ) na kisukari cha mimba.
Video hii imeelezea Dalili 12 za kisukari ambazo ni za kawaida kwa aina zote 3 za kisukari!
YALIYOMO
00:00 Kiu ya maji na kukojoa mara kwa mara
01:36 Kupungua uzito
02:27 Uchovu wa mwili
02:49 Matatizo ya macho
03:29 Kupumua hewa yenye harufu ya matunda
03:51 Kupumua juu juu
04:35 Vidonda kuchelewa kupona
05:26 Maumivu ya nerve
05:49 Miguu kuwaka moto na vidole kufa ganzi
06:03 Njaa kali
07:03 Kupata maambukizi ya UTI na fangasi kirahisi kwa wajawazito
Follow us on:
Facebook: / mshaniwellness
Instagram: / mshani_wellness
Twitter(X): / mshaniwellness
TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne...
Contact: 0743039890
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: