TAKWIMU PEMBA KUPOROMOSHEWA JENGO JIPYA HIVI KARIBUNI
Автор: ZANZIBAR YETU
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 1392
Описание: Ujenzi wa ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar unatarajiwa kukamilika baada ya miezi kumi na nane (18) kwa mujibu wa wakandarasi walivyoahidi. Ujenzi huo umeshuhuriwa na Timu ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, Salum Kassim na wajumbe wengine wakati alipotembelea katika eneo la Chakechake Kisiwani Pemba.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: