IMANI HUANGUSHA ROHO YA HOFU Host: Apostle Samwel James
Автор: MSWA GOSPEL MEDIA
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 64
Описание:
Karibu kwenye ibada ya moja kwa moja (LIVE) chini ya somo lenye ujumbe wa tumaini na faraja:
“IMANI HUANGUSHA ROHO YA HOFU
faida ya imani ikikaa ndani yako huwa nikama macho ya kukuongoza kuona yajayo
pia itakupa nguvu ya kudharau changamoto zinazokukumba na inakupa tumaini
🔥 Jiunge nasi LIVE pamoja na Host: Apostle Samwel James
Andika maombi yako kwenye comments, shiriki na wengine, na uwe sehemu ya baraka hii.
🔔 Like | Share | Subscribe ili usikose mafundisho na maombi yajayo.
Karibu sana — Mungu akubariki 🙏🏽✨
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: