Historia ya Edward Ngoyai Lowassa Kuzaliwa hadi Kufariki.
Автор: FMB TV
Загружено: 2024-02-15
Просмотров: 686
Описание:
Edward Ngoyai Lowassa (26 Agosti 1953 – 10 Februari 2024) Katika kijiji cha Garash Monduli,Arusha wakati huo ilikuwa Tanganyika kwa sasa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Edward Lowassa alikuwa mtoto wa nne wa mchungaji Ngoyai Lowassa, ambaye alifanya kazi kwa muda katika serikali ya kikoloni katika Wilaya ya Monduli katika Mkoa Arusha kama msimamizi (wasimamizi wa sheria za kijiji).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: