Mambo mazito Hutuba ya Rais samia Leo, Je Kukata Mzizi wa Hofu? Tutazame Kinachoendelea!
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 1733
Описание:
Macho na masikio ya wananchi yanageukia tena jijini Dar es Salaam, ambako kesho Jumanne, Desemba 2, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia Taifa kuhusu hali ya usalama na jitihada za kuliponya Taifa wakati huu ambao hali imejaa taharuki.
🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania!
#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #raissamia #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: