MPAKANI TV /Utata wa hospitali ya Level 6 Bungoma/
Автор: Mpakani TV
Загружено: 2025-10-18
Просмотров: 107
Описание: Wakazi wa Kaunti ya Bungoma wazidi kusubiri kuona iwapo Hospitali kuu ya Level 6 itajengwa eneo la Sichei eneo bunge la Kabuchai au la. Huku viongozi wa kaunti hiyo ya Bungoma wakizidi kutofautiana,askofu mkuu wa kanisa la kianglikana Dayosisi ya Bungoma Dk.George Mechumo, amesema anaunga mkono baadhi ya viongozi kwamba Hospitali hiyo ijengwe eneo la Sichei huku akitoa sababu kwamba itaimarisha mji wa Bungoma kimiundo msingi na kiuchumi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: