#HabarizaUN
Автор: Mashariki TV
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 134
Описание: Akizungumza kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali nchini Uganda, mkimbizi huyo amekumbusha namna matangazo ya redio Okapi ya mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani DRC ujulikanao kama MONUSCO yalivyomsaidia kufanya uamuzi mgumu wa kukimbia vita nchini mwaka mwaka 2008 na kwenda nchi jirani ya Uganda. #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #worldradioday
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: