EXCLUSIVE: GIGY MONEY AMTOLEA UVIVU D VOICE KUIBA IDEA ZA NYIMBO, AMBER LULU ANAHITAJI MSAADA
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2025-08-06
Просмотров: 14471
Описание:
@gigy_money_og ame-share na sisi kuhusu changamoto ambayo amepata kutokana na pombe ku-react katika mwili wake, ametusanua kuhusu hatua ambazo amezianza ili kuachana na pombe!
@gigy_money_og ametia neno kuhusu suala la wimbo wa Ganda uliofanywa na wasanii @mzeewabwax_og na @itsdvoice, anadai alikuwa tayari amefanya remix ya wimbo wenye idea kama hiyo kabla ya kina D Voice kuja na wimbo wa Ganda!
@gigy_money_og kwa @lickytones yuko tayari kwa lolote! 🙌🏾 Hana kipengele, kipengele labda waje nacho ndugu wa Mume 😂
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: