Msafiri mkenya anaswa Thailand
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 5770
Описание:
Familia moja kutoka eneo la Barnabas ,Nakuru inaiomba serikali kuisaidia kumrejesha mwana wao wa miaka ishirini aliyekamatwa nchini Thailand.
Anthony Mwangi alielekea Thailand mwezi oktoba mwaka uliopita ila akakamatwa alipofika nchini humo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: