Kocha Francis Baraza asema wanazitaka alama tatu za Mbeya City
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 76
Описание:
MBEYA CITY vs PAMBA JIJI: “Vijana wangu nimewaandaa vizuri”
Kocha wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema vijana wake wapo vizuri japo anafahamu kuwa Mbeya City wanayataka matokeo kwa udi na uvumba.
Kwa upande wake mchezaji Kenneth Kunambi anasema wamejiandaa kuchukua alama tatu kesho
#NBCPL
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: