"Tulikuwa Tunachunguzana" Mbunge Deo Sanga aeleza Sababu ya kuo baada ya uchumba wa miaka 40
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-09-20
Просмотров: 4897
Описание: Siku chache baada ya Mbunge wa Makambako CCM, Deo Sanga kufunga ndoa na Rozana Kapasi walioishi pamoja kwa zaidi ya miaka 40, mbunge huyo ametueleza sababu zilizopelekea kudumu kwenye uchumba kwa muda wote huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: