WEKEZA UFAIDIKE NA M-WEKEZA!
Автор: Vodacom Tanzania
Загружено: 2024-12-20
Просмотров: 9271143
Описание:
Vodacom Tanzania tuna furaha kutangaza uzinduzi rasmi wa huduma yetu mpya ya uwekezaji, M-WEKEZA! Huduma hii imeletwa kwa ushirikiano na @sanlaminvestmentsea inaleta urahisi, usalama, na faida kwa wateja wetu kwenye shughuli za Uwekezaji.
Kwa kuanzia na kiasi kidogo kabisa cha Sh 1,000 mteja wa Vodacom unaweza kufurahia faida kubwa ya hadi 13% kwa mwaka. Jiunge sasa na uwe sehemu ya mapinduzi ya kifedha. M-Wekeza, Inakuza thamani ya kila senti yako!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: