MBUNGE MWANYIKA ATOA MSAADA WA VYEREHANI 50 AKAGUA SHULE YA MSINGI NA KUZINDUA ZAHANATI KAMBARAGE
Автор: NJOMBE TV
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 123
Описание:
Mbunge wa jimbo la Njombe Deodatusi Mwanyika amefanya matuki matatu makubwa katika mtaa wa kambarage mjini njombe miongoni mwa matukio hayo ni pamoja na kutoa msaada wa mashine za kushinea nguo hamsini kwa vikundi 15 vya wanawake tarafa ya njombe mjini kwenye kata za njombe mjini ,mjimwema na ramadhani.
katika tukio jingine mwanyika amekagua shule ya msingi kambarage na kushuhudia maboresho ya madarasa ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu kupitia mradi wa boost.
katika tukio la tatu mbunge mwanyika amezindua zahanati ya mtaa wa kambarage iliyojengwa kwa ufadhili wa TASAF
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: