WAZIRI MKENDA ALIVALIA NJUGA SAKATA LA MADEREVA KWENDA QATAR
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-05-28
Просмотров: 1474
Описание:
DODOMA: WATU wanaowapeleka madereva kufanya kazi nje ya nchi wanawajibu wa kufanya utafiti kujua mahitaji ya eneo wanaloenda ni yapi tofauti na mahitaji ya magari ya Tanzania.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika miaka minne ya serikali ya awamu ya sita.
Waziri Mkenda amesema wahitaji hao wa madereva wanatakiwa kujua aina ya magari yaliyopo Tanzania ni ya namna gani, yanayoenda Kongo ni ya namna gani, madereva wa Tanzania wanajifunza nini, hivyo mtu akiwachukua watu nchini na kuwapeleka Qatar ni vizuri kwanza akaangalie, asiwachukue na kuwakimbiza kule halafu wakaenda kupimwa hilo ni jambo la muhimu kulifanya.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: