TAKUKURU Mbeya Yawaleta Pamoja Wananchi na Taasisi Kwenye Futari ya Pamoja
Автор: MbeyaYetuOnlineTV
Загружено: 2026-03-19
Просмотров: 30
Описание:
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya imeandaa futari ya pamoja iliyowakutanisha wananchi, taasisi mbalimbali pamoja na viongozi wa dini na serikali, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya rushwa.
Akizungumza katika hafla hiyo, viongozi wa dini na serikali walisisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili, uadilifu na uwajibikaji katika jamii, wakieleza kuwa rushwa ni kikwazo kwa maendeleo. Wananchi walipongeza hatua hiyo, wakisema imeongeza ukaribu na ushirikiano kati ya TAKUKURU na jamii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: